DOZENS OF MIGRANTS FOUND DEAD IN A TRUCK IN AUSTRIA (MAITI ZA WAHAMIAJI ZIMEKUTWA NDANI YA LORI HUKO AUSTRIA)



syria4

The headlines that have reached us from Austria where 71 people found dead in a truck abandoned on the road junction.
The Austrian medias say that the police on duty detect the truck at Austrian Highway junction in the morning and so the polices said that the truck was
from Hungary to Austria

(Headlines zilizonifikia muda huu zinatoka Austria ambako maiti za wahamiaji 71 zimekutwa ndani ya lori lililotelekezwa kwenye njia panda ya barabara.
Vyombo vya habari kutoka Austria vinasema kuwa lori hilo liligunduliwa na baadhi ya polisi waliokuwa kazini kwenye njia panda ya Austrian Highway mida ya asubuhi na polisi hao wanasema lori hilo lilikuwa limetoka Hungary kueleka Austria.)

 As talking to the medias the polices said that when they approached the truck they smelled a rotten smell
 and as they opened the truck, they found the migrants corpses rotten due to the high temperature in that truck....of those corpses the polices said 60 were men, 8 were women and 3 children aged 2,3 and 8.

(Wakizungumza na vyombo vya habari, Polisi walisema kuwa walipokaribia lori hilo walisikia harufu kali ya kitu kuvunda ndipo kufungua nyuma ya lori hilo na kukuta maiti ya wahamiaji 71 ikivunda kutokana na joto kali lililokuepo ndani ya lori hilo… kati ya hao 71 polisi wanasema, 60 ni wanaume , wanawake 8 na watoto 3 wenye miaka 2,3 na 8.)



>>> “Hawa walikuwa wanajaribu kuingia nchini kwani mwisho wa hii highway ni mpaka unaonganisha mji wa Budapest, Hunary na mji mkuu wa Austria, Vienna… hatuna uhakika sana ila inatulazimu kuamini kuwa hawa ni wahamiaji, kwani kuna sababu gani nyingie ya watu wote hawa kujiificha ndani ya lori hili kama walikuwa hawajaribu kuvuka mpaka?”


syria5
( Peter Doskozi, Mkuu wa Polisi Kanda Maalum ya Austria Burgenland.

Peter Doskozi aliongeza kwa kusema kuna karibia malori 3,000 yanayopita highway hio kila siku kitu kinachofanya ukaguzi wa malori hayo kuwa kazi ngumu na watu wengi wanaojaribu kuingia nchini humo kwa njia zisizo halali hutumia magari madogo na wale wachache wanaotumia malori hawakaguliwi hivyo ni vigumu kuwapata.)


Peter Doskozi said that approximately 3,000 truck cross that highway everyday making it hard for the police to do the inspection and people who enters the country use the small cars while few using the truck which are not inspected and so it is hard to find them.



Comments