RIPOTI : WACHEZAJI WA EPL WANAJIHUSISHA NA MAMBO YA WAGANGA WA KIENYEJI / REPORT : EPL PLAYERS INVOLVE THEMSELVES WITH WITCHCRAFT STUFFS

The Sun newspaper has written about the involvement of the EPL players with witchcraft stuffs to be successful on the pitch. In that article that has been famous lately, involved the wives of the players without mentioning their names.
(Gazeti kubwa la The Sun limeandika article ya kiuchunguzi kuhusu wachezaji wa EPL kujihusisha na imani za kishirikina ili kupata mafanikio uwanjani. Article hiyo ambayo imepata umaarufu mkubwa imehusisha mmoja ya wake za wachezaji licha ya kutotaja jina lake.)

The writer of that article says "I know the players practicing witchcraft, they can succeed in a very short time with large payments.
One lady who introduced herself to be a wife of a EPL player said this , "For some African players, the witch doctors are very important to them than the team manager.If they are told by the witch doctors to stop playing today they surely will. My husband often goes to his village to see the witch for the service, you will find that the witch doctor is paid large amount of money enough to make him/her drive luxurious cars and to live in good houses."
( Mwandishi wa article hiyo anasema,“Nawajua wachezaji ambao wanajihusisha na mambo ya kishirikana. Wanaweza kupata mafanikio ya muda mfupi kutokana na imani wanayoipata na kulipa pesa nyingi sana”
Mwanamke mmoja aliyetambulishwa kuwa ni mke wa mchezaji wa EPL alisema hivi ,“Kwa baadhi ya wachezaji wa ki-africa, waganga wa kienyeji ni muhimu kwao kuliko hata manager wa timu. Kama wakiambiwa na waganga wa kienyeji waache kucheza soka leo wanaweza kuacha kweli.Mume wangu anaenda mara nyingi kijijini kwao kwa ajili ya huduma za waganga wak kienyeji, utakuta mganga analipwa pesa nyingi anaendesha magari ya kifahari na kuishi kwenye nyumba nzuri. Hao mara nyingi huwa ni waongo lakini wale wa ukweli wanaishi kwenye umaskini kibanda kimoja na hana hata huduma ya maji.”)
Akiendelea kusema hivyo aliongeza pia,“Wachezaji wanaweza wasijue kama wenzao wanatumia juju lakini managers watakua wanajiuliza sana kwanini wachezaji hao wanawaomba sana ruhusu ghafla ghafla, ukiona hivyo ujue juju man kapiga simu”

Comments